News

WAKATI Tabora United ikiwa katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Nasarawa United, Mnigeria Anas Opkadibu Yusuf ...
REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea ...
MASHABIKI wa Sporting Lisbon wamepaza sauti zao kuhusiana na mshambuliaji wa timu hiyo, Viktor Gyokeres, ambaye anahusishwa ...
SIMBA ina hesabu kali ya kufumua eneo la kipa na unaweza kusema hakuna aliye salama, mezani kwa mabosi wa klabu hiyo kuna ...
SIKU zinawadia. Uwanja wa Wembley, jijini London, unatarajiwa kuwa kitovu cha dunia ya ngumi Julai 19, 2025, wakati mabondia ...
MASHABIKI wa Simba bado wamepigwa na butwaa baada ya kuona sehemu ya mastaa waliosajiliwa msimu uliopita na kuiwezesha timu ...
BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kumalizika, kwa sasa timu zinajitathimini kuona ni wapi walifanikiwa na walikofeli na kikwazo ...
HUENDA hii isiwe taarifa njema kwa mashabiki wa klabu ya Simba, lakini inadaiwa hali ndivyo ilivyo, baada ya mabosi wa Yanga ...
Timu ya Taifa ya Senegal itashiriki Mashindano maalum ya CECAFA yatakayo husisha mataifa manne kabla ya mashindano ya CHAN ...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 15, 2025 ilipitia ...
WAKATI timu zikiwa zimebakiza michezo sita kukamilisha mzunguko wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, timu za Dar City, ...
MPANGO wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford na timu ya taifa ya Cameroon, Bryan Mbeumo, 25, umesimama kwa ...