News
London, England. Klabu ya Chelsea bado haijamaliza kufanya maboresho katika safu yake ya ushambuliaji, licha ya kutumia kiasi kinachokadiriwa kufikia Pauni milioni 173 (Sh443 bilioni) ...
Hatima ya kujulikana majina ya kina nani yaliyopenya katika mchujo wa vikao vya kitaifa vya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili ...
Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, ni vizuri kuwaza uwekezaji baada ya kuweka akiba inayotosheleza, kama akiba ya dharura inayoweza kugharamia gharama za maisha kwa angalau miezi mitatu hadi ...
Kuondoa changamoto hiyo unaweza kupokea ujumbe kufuata kiungo fulani (link), au tuma neno lako la siri tukusaidie, na mengineyo.
Dar es Salaam. Dhamira ya Tanzania kujenga uchumi usio tegemea sana fedha taslimu imepata msukumo mpya baada ya kampuni ya ...
Soko la Kariakoo limekuwa kwenye ukarabati tangu mwaka 2022, huku serikali ikitumia zaidi ya Sh28 bilioni kwa ukarabati na ...
Tanga. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Songea, imewaachia huru Josephine Kapinga na Mathayo Kapinga waliokuwa wanakabiliwa na ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea na mkakati wake wa kuimarisha utendaji serikalini baada ya kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi na mamlaka za umma.
Wakati matukio ya watu kujiua yakiendelea kutokea kwa kile kinachoelezwa kuwa ni msongo wa mawazo, jamii imetakiwa kutambua ...
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka Mkoa wa Songwe, Nkunyutila Siwale, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Wizara ya Kilimo imezindua mfumo wa kielektroniki wa huduma za ugani uitwao eKilimo, unaolenga kuwawezesha wakulima nchini ...
Mwalimu Dorosela Salvatory (45) wa Shule ya Sekondari Nyanza amekutwa amefariki dunia akidhaniwa kukatwakatwa na kitu chenye ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results