News

Wadau wamepongeza hatua ya ushirikishaji wa rika zote katika maandalizi ya Dira 2050 huku Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu mfanyabiashara, Abubakari Msangi (48) kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya ...
Umoja wa Wazee Mkoa wa Mbeya umevitaka vyama vya siasa nchini, kuhakikisha vinawateua wagombea wanaokubalika kwa wananchi ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametaka kubadilishwa kwa mitazamo, namna ya kufanya kazi, na kuandaliwe nyenzo za ...
Biharamulo. Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ...
Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 likizidi kupanda, vyama mbalimbali viko kwenye michakato ya kukamilisha uandishi ...
Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amepongeza uzinduzi wa Dira 2050 akisema kuwa ni hatua ...
Idadi ya ajali za barabarani imeongezeka kwa asilimia 13.3 visiwani Zanzibar kwa Juni 2025 ambapo jumla ya watu 17 walifariki ...
Mashabiki wa klabu ya Sporting Lisbon wameonyesha hisia kali dhidi ya mshambuliaji Viktor Gyokeres, ambaye yuko mbioni ...
Katika kipindi cha miezi saba Somalia na Tanzania zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kidiplomasia kwa kusaini ...
Katika juhudi za kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuongeza matumizi ya huduma za kidijitali, Benki ya Stanbic Tanzania ...
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema malengo mahususi ya Dira 2050 ni ...