News

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinatoa elimu ya uwekezaji kwa watu mbalimbali wakiwamo mabalozi wanaokwenda kuwakilisha Tanzania nje ya nchi.
Kutokana na ushirikiano huo, Majaliwa aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa Japan na duniani kote kuja kuwekeza ...
TUME ya Mipango imesema ni muhimu kushirikisha serikali za mitaa katika utekelezaji wa miradi kwa ubia katika sekta ya umma ...
Kafulila amesema wastani wa deni la serikali kwenye uchumi ni takribani asilimia 47. Kafulila ameyasema hayo katika Ukumbi wa ...
DAR ES SALAAM: TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu wa Shirika la Viwango Barani Afrika ...
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni amesema ...
“Tanzania imekuwa kinara katika utekelezaji wa miradi ya mabadiliko ya nishati kama vile matumizi ya nishati safi ya kupikia ...
DODOMA – Serikali imetakiwa kufanya tathmini ya hali ya kifedha ya Asasi za Kiraia (NGOs) kufuatia kufutwa kwa misaada kutoka ...
MANYARA: MRADI NOURISH unaosaidia wakulima wadogo kulima kwa tija ili kuwa na usalama wa chakula na kipata kipato umeleta ...
Akizungumza leo Mei 27, 2025 mkoani Mtwara, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara, Elisante Mashauri amesema kiasi hicho cha fedha ...
Waziri Ulega ameeleza kuwa serikali imeanza mchakato wa kuwarasimisha mafundi wasio rasmi ambao hawajapita kwenye vyuo vya ...
MTWARA: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Sh bilioni 669 ...