News

Mwana FA ametoa maagizo hayo leo, Aprili 29, 2025 katika ziara yake aliyofanya katika ... amesema Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan imetoa maelekezo maalum kuhakikisha Watanzania wanashuhudia ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakulima wa korosho mikoa ya kusini, kupuuza wanaoeneza uongo kuhusu mfumo ... mkoani Mtwara. Akiwa katika ziara ya siku 10 katika mkoa wa Lindi na Mtwara, ...
Dk Dimwa ametoa kauli hiyo leo Aprili 29, 2025 wakati akizungumza na wajumbe wa kamati za siasa za matawi, wadi, majimbo ya Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba katika mwendelezo wa ziara ya Sekretarieti .
Korea Kusini imetangaza kwamba ilifanya majadiliano juu ya sera za biashara za Rais Donald Trump wa Marekani na kwamba pande hizo mbili zilikubaliana kuendeleza majadiliano. Serikali ya Korea ...
Korea Kusini na mashirika ya kijasusi ya Magharibi kwa muda mrefu yameripoti kwamba Pyongyang ilipeleka zaidi ya wanajeshi 10,000 kuisaidia Urusi kwenye mkoa huo wa Kursk. Kulingana na ripoti ya ...
Tume ya kikanda iliyopewa jukumu la kufuatilia utekelezwaji wa mkataba wa amani wa mwaka 2018 nchini Sudan Kusini, sasa inazitaka mamlaka kumuachia makamu wa kwanza wa rais Riek Machar pamoja na ...
Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini kwa upande wake imeshutumu hatua hiyo siku ya Jumatatu na kusema ni ukiukaji wa maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. "Kwa kukubali rasmi ...
Tanzania imeondoa marufuku ya uagizaji wa mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini, siku chache baada ya kuweka zuio la kisasi kwa hatua kama hizo zilizowekwa na mataifa hayo mawili ya ...
Picha zinaonyesha rada, mifumo ya ulinzi ya anga na ya kurusha makombora kwa wima kwenye manowari hiyo. Vyombo vya habari vya Korea Kusini vilimnukuu mtaalamu akisema manowari hiyo ina seli 74 za ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria, akisisitiza kuwa vyama vya siasa vinapaswa kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia sheria na ...
Papa Francisco alitembelea nchi kadhaa za Amerika ya Kusini.Picha hii alikuwa katika ziara Peru. Ziara ya kwanza ya Papa Francisco nje ya Italia kama Kiongozi wa Kanisa Katoliki ilikuwa nchini ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara ya kiserikali ya siku tatu katika Jamuhuti ya Angola, kwa mwaliko wa Rais João Manuel Gonçalves Lourenço. Akiwa nchini humo atafanya mazungumzo na Rais wa nchi ...