News

Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Korea ya kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake mashariki mwa Asia. Katika mtandao wake wa Twitter, Rais Trump amemuelezea Rais wa Korea kusini Moon Jae-in ...
Maelezo ya picha, Rais Kim Jong Un atua Korea Kusini 27 Aprili 2018 Rais Kim Jong-Un wa Korea Kaskazini amekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa hilo kuvuka mpaka wa kijeshi uliowekwa kuzitenganisha ...
Rais wa Ukaine Volodymyr Zelensky alikuwa Afrika Kusini siku ya Alhamisi Aprili 24. Alipokelewa na Rais Cyril Ramaphosa katika ikulu ya rais mjini Pretoria. Ziara fupi kuliko ilivyopangwa ...
Serikali ya Korea Kusini imeitisha mkutano wa dharura kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la ushuru wa forodha wa kutendeana wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchini humo.
Wakati wa ziara yake, alisisitiza mara kwa mara umuhimu wa biashara ya pande nyingi na kutoa wito wa ushirikiano. ASEAN ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa China kuliko Marekani.
Ziara ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni nchini Sudani Kusini ilimalizika Ijumaa. Ziara ambayo Mkuu wa Nchi alikutana na mwenzake Salva Kiir na wadau wengine wa kisiasa wa Sudani Kusini pamoja na ...