News
Shughuli hiyo ya kuaga, katika viwanja wa Karimjee itafanyika kuanzia saa 3 asubuhi na kuongozwa na viongozi wa dini na ...
Wizara hiyo imeliomba Bunge kuwaidhinishia Sh519.66 bilioni huku miradi ya maendeleo ikitengewa Sh458.19 bilioni.
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika mazishi ya aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Kwanza na ...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amesema taasisi za umma na za binafsi hazina haja tena ya ...
LICHA ya juzi kuchezwa mechi tofauti za Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) iliyokuwa na mvuto, msisimko na kujaza ...
Rais Stubb alisema Finland inaitazama Tanzania kama lango muhimu kuelekea masoko ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ...
JOTO la ufunguzi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kati ya UDSM Outsiders na JKT linazidi kupanda kutokana na ...
Kwa mara ya kwanza kwa miaka 32 Simba inacheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, ikiwa ni fainali ya pili kubwa baada ya ...
DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu ...
Msuya alizaliwa tarehe 4 Novemba, 1931 mkoani Kilimanjaro. Aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza na Rais wa Kwanza ...
Current time and date at Dar Es Salaam International Airport is 21:27:18 PM (EAT) on Monday, May 12, 2025 Looking for information on Dar Es Salaam International Airport, Dar Es Salaam, Tanzania? Know ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results