News

NYOTA wa Simba akiwamo Jean Charles Ahoua, Moussa Camara na wenzao wengine waitwa mapema kambini mwishoni mwa mwezi huu ili kujiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa 2025-2026. Ofisa Habari ...
Timu ya Taifa ya Senegal itashiriki Mashindano maalum ya CECAFA yatakayo husisha mataifa manne kabla ya mashindano ya CHAN ...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 15, 2025 ilipitia ...
TIMU yetu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imeshindwa kufua dafu katika Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 zinazoendelea huko Morocco.
SIKU zinawadia. Uwanja wa Wembley, jijini London, unatarajiwa kuwa kitovu cha dunia ya ngumi Julai 19, 2025, wakati mabondia ...
HAKUNA ubishi mashabiki wa Yanga wanafahamu kuna baadhi ya mashine zilizowapa heshima msimu uliopita kwa kutwaa mataji matano ...
MASHABIKI wa Simba bado wamepigwa na butwaa baada ya kuona sehemu ya mastaa waliosajiliwa msimu uliopita na kuiwezesha timu ...
HUENDA hii isiwe taarifa njema kwa mashabiki wa klabu ya Simba, lakini inadaiwa hali ndivyo ilivyo, baada ya mabosi wa Yanga ...
SIMBA ina hesabu kali ya kufumua eneo la kipa na unaweza kusema hakuna aliye salama, mezani kwa mabosi wa klabu hiyo kuna ...
INAELEZWA hadi sasa mshambuliaji, Aisha Mnunka hajasaini mkataba mpya na Simba Queens licha ya ofa aliyoletewa mezani.
HENOCK Inonga aliondoka nchini mwaka jana kwenda Morocco kujiunga na AS FAR huku akiwa mchezaji ambaye hakuna klabu ya Tanzania haikutamani kuwa naye.
Kinda Mtanzania Gilbert Kossey mwenye umri wa miaka 18, ataonekana katika Ligi ya Mabingwa Asia msimu ujao baada ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na Hanoi Police inayoshiriki Ligi Kuu ya Vietnam.