News

RAIS Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara ya kiserikali ya siku tatu katika Jamuhuti ya Angola, kwa mwaliko wa Rais João Manuel Gonçalves Lourenço. Akiwa nchini humo atafanya mazungumzo na Rais wa nchi ...
TANZANIA inatazamia kukuza na kuimarisha zaidi uhusiano na taifa la Niger katika nyanja za biashara, uwekezaji na utalii kwa manufaa ya nchi zote mbili, Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Rais Samia ...
MTWARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa ... ikiwa ni ...
Kim Shin-jo, a prominent ex-North Korean commando who resettled in South Korea as a pastor after his failed mission to assassinate then-president Park Chung-hee in 1968, has died aged 82.
Kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara, mustakabali wa kinachoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa katika ziara ... Samia kwa kuwa ni kiongozi wa idara ...
Vyombo vya habari vya Korea Kusini vinasema mamlaka nchini humo huenda zikaongeza uchunguzi wao wa tuhuma dhidi ya Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol, kwa kuwa sasa ameondolewa madarakani.
Serikali ya Japani inapanga kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya kisiasa nchini Korea Kusini kabla ya uchaguzi wa uongozi uliopangwa kufanyika ndani ya siku 60. Rais Yoon Suk-yeol aliondolewa ...
Ruvuma. Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Ruvuma imetamatika, huku akisisitiza wananchi kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 pamoja na kuilinda amani ...
iliyotangulizwa na ziara ya wajumbe wa Umoja wa Afrika, nchini Sudan Kusini baada ya makamu wa rais wa nchini hiyo kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwake, kule DRC waasi wa M23 wanaoungwa mkono na ...
Majaji wa Mahakama ya Katiba nchini Korea Kusini, kwa kauli moja, wameamua kuunga mkono kuondolewa madarakani kwa rais Yoon Suk Yeol na bunge mwezi Desemba mwaka uliopita. Baada ya uamuzi huo wa ...
Ijumaa ya April 4, 2025, Mahakama ya Kikatiba ya Korea Kusini iliamua kuwa Rais Yoon Suk Yeol alitumia vibaya mamlaka kwa kutangaza sheria ya kijeshi mwezi Desemba, na hivyo akafutwa kazi rasmi ...