Hii ni ziara ya kwanza kwa waziri wa mambo ya nje wa Japani nchini Korea Kusini kwa zaidi ya miaka sita, kulingana na shirika la habari la Yonhap, lililonukuliwa na shirika la habari la AFP.
Lilikuwa ni jambo ambalo halijawahi kushuhudiwa; ni mara ya kwanza ... rasi ya Korea na uharibifu wa mji mkuu wa Korea Kusini, Seoul. Sababu hii ndio ilimfanya Carter kufanya ziara.
mamlaka ya Korea Kusini tayari imewasilisha ripoti hiyo kwa ICAO na nchi nyingine zinazohusika na utengenezaji wa ndege hiyo. Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue ...
Na Dinah Gahamanyi & Asha Juma Chanzo cha picha, Rwanda Presidency Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika Kusini (SADC ... wa EAC William Ruto wa Kenya. "Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kuwa mwenyeji ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya Sh. bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini ... ziara hii kueleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana kwenye eneo la ...
DAR ES SALAAM; RAIS Samia ... Dira ya Maendeleo ya Taifa ambapo haitaangalia vipaumbele vya maendeleo ya taifa pekee bali pia itashirikisha wadau wa maendeleo. Alisema Mwaka 2024 Tanzania iliimarisha ...
Wakati huo, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), amewasili jijini Harare nchini Zimbabwe kwa ziara ya ...
Ndege moja ya abiria iliwaka moto muda mfupi baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa mji wa Busan nchini Korea Kusini Jumanne jioni. Watu watatu walijeruhiwa kwenye mkasa huo. Abiria wote 169 na ...
Ndege ya abiria imeshika moto katika uwanja wa ndege mjini Busan nchini Korea Kusini jana Jumanne usiku, lakini kila mmoja aliyekuwemo ndani ya ndege hiyo aliweza kutoka. Tukio hilo linakuja ...
Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi siku ya Jumanne, Januari 14, jeshi la Korea Kusini limetangaza, siku chache kabla ya kuapishwa kwa Donald Trump na wiki moja baada ya ...
Mahakama ya Korea Kusini imetupilia mbali kwa mara nyingine, ombi la waendesha mashtaka la kuongeza muda wa kuzuiliwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge Yoon Suk Yeol. Taarifa hiyo ...