Picha: Ikulu Watanzania waishio Korea wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Samia Suluhu Hassan ikiwa ni moja ya ratiba ya kumaliza ziara yake na kuanza safari ya kurejea Nchini ...
Marekani haitatoa tena msaada au ufadhili kwa Afrika Kusini, Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Ijumaa, Februari 7, 2025, kwa kutumia sheria ya kunyang'anya mali ambayo anaiona kuwa ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Alielezea kuwa ziara za kutembelea makaburi ya mababu zao visiwani humo zimefanyika kwa misingi ya kibinadamu, lakini sasa zimesitishwa. Alisema ana wasiwasi na mtazamo wa visiwa hivyo ...
Mwalimu mmoja amemdunga kisu mtoto wa miaka minane katika shule ya msingi nchini Korea Kusini, katika tukio ambalo limeshtua taifa hilo. Mwalimu huyo wa kike, ambaye yuko katika umri wa miaka 40 ...
Perezida Volodymyr Zelensky wa Ukraine avuga ko ingabo za Korea ya Ruguru zasubijwe ku rugamba mu ntara ya Kursk iri mu burengero bw'Uburusiya, inyuma y'amakuru yavuga ko zari zasubijwe inyuma mu ...
na Kusini (ECSA – HC) ameitangaza Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80. Wakati akitangaza ...
Karla Quintana, mkuu wa taasisi huru ya watu waliotoweka Syria IIMP, amehitimisha ziara yake ya kwanza mjini Damascus, akisisitiza umuhimu wa kushughulikia suala la makumi ya maelfu ya watu waliopotea ...
MKOA wa Shinyanga, umesherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kupanda miti 500 katika shule ya msingi Mapinduzi, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa. Upandaji huo ...
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kusitishia misaada Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo wa mvutano kati ya utawala wa Washington dhidi ya Pretoria huku sakata la utwaaji wa ardhi inayomilikiwa ...
Akizungumza leo Februari 10, 2025 kwenye ziara ya ukaguzi wa majaribio ya mita hizo mkoani Manyara, mwenyekiti wa kamati ya fedha na utawala ya bodi ya wakurugenzi Ruwasa, Aloys Mvuma amesema bodi ya ...
WIKI iliyopita, viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walifanya mkutano wa pamoja Dar es Salaam kuzungumzia utatuzi wa mgogoro wa Jamhuri ya ...