Picha: Ikulu Watanzania waishio Korea wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Samia Suluhu Hassan ikiwa ni moja ya ratiba ya kumaliza ziara yake na kuanza safari ya kurejea Nchini ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kutambua juhudi zake za kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80, kuboresha upatikanaji huduma za afya na ...