News

Katika miaka ya hivi karibuni, Ramadhan hujiri katika miezi ya joto na katika maeneo ya kaskazini hilo mara nyingine humaanisha watu kufunga kwa saa nyingi na katika hali ya hewa yenye joto jingi.
Al-Nashash anasema kuwa ni kosa kubwa kunywa kahawa pindi unapofungua saumu, na wakati muafaka wa kunywa kahawa wakati wa Ramadhan ni kusubiri hadi baada ya kufungua, kama saa moja au nusu ili ...