News

Samia Hassan Suluhu (61) amekuwa Rais wa Tanzania, na kuweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo utakaomfanya awe mtu mwenye mamlaka makubwa zaidi katika taifa hilo. Watanzania ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Tanzania.hatua hiyo inafuatia kifo cha ghafla cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli, mwezi Machi mwaka huu.