Tanzania imekuwa ni miongoni mwa nchi ambazo bado zinakabiliwa na changamoto ya udumavu wa kimo na akili kwa watoto.
KENGOLD bado inajitafuta baada ya kurejea katika duru la pili ikiwa imefanya usajili wa kibabe dirisha dogo la usajili ...
aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika stesheni ya Dodoma ambao walikuwa wakijiandaa kusafiri kwenda katika mkutano wa msemaji huyo utakaofanyika leo Hifadhi ya Taifa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na ...
SERIKALI imeanza maandalizi ya ujenzi na ukarabati wa vituo vinane vya ubunifu katika mikoa minane ili kuboresha ...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, wamepatiwa mafunzo kuhusu Mfumo wa kidigitali wa PSSSF.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo baina ya Simba na Dodoma Jiji FC ambao ratiba ya awali inaonyesha ...
The Round of 32 in the Federation Cup promises exciting matchups, with several top-flight teams set to face off. Among the standout fixtures in round of 32, defending champions Young Africans will ...
Msongamano wa magari ya mizigo kwenye barabara ya Dodoma Inn uliosababishwa na msongamano wa watu na magari kwenye uwanja wa Jamhuri panapofanyika maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa chama Cha ...
Leo Ross died in hospital after he was found with stab wounds to the stomach near Scribers Lane in Hall Green on Tuesday last week. The accused, who cannot be named because of his age, appeared ...