Tanzania imekuwa ni miongoni mwa nchi ambazo bado zinakabiliwa na changamoto ya udumavu wa kimo na akili kwa watoto.