News

Huku mikono yao ikiwa juu ya Biblia, waliapa kutofichua chochote ... makadinali wote walihudhuria misa takatifu asubuhi katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, iliyoongozwa na Mkuu wa Chuo cha ...
"Papa na mfalme wa kile tunachokiita sasa Milki Takatifu ya Kirumi walikuwa wakishiriki katika mapambano ya uongozi wa Jumuiya ya Wakristo," Alejandro Rodríguez de la Peña, profesa wa historia ...
Kwa zaidi ya miaka 750, sheria kali zimetawala orodha ya makadinali wanaokusanyika kumchagua papa. Kwa mfano, ravioli, napkini na kuku ni vitu ambavyo vimepigwa marufuku kutoka kwa meza ya ...
Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni. Waathiriwa wa uhalifu ...
Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko ...
Kama kawaida DJ Fly Collins Odhiambo na fundi mitambo Vital Mugisho wanakushushia burudani ya Muziki bandika bandua katika Niko Base. Soma zaidi mada inayofanana: ...
Askofu Msonganzila alitoa wito huo wakati wa mahubiri ya Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi, Mugumu, mkoani Mara, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ...
Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu Sudan Kusini imelaani vikali mashambulizi ya angani dhidi ya hospitali ya Médecins Sans Frontières (MSF) huko Old Fangak, Jimbo la Jonglei – tukio ...
Miezi miwili tangu misaada izuiwe kuingia Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa na Israeli, chakula kimekwisha na watu wanagombania maji katikati ya mazingira ya mashambulizi ya mabomu ...
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT), Dk Dickson Chilongani wakati akiongoza ibada ya Misa takatifu ya Pasaka iliyofanyika katika kanisa kuu la roho Mtakatifu Jijini ...