News
Mwalimu Dorosela Salvatory (45) wa Shule ya Sekondari Nyanza amekutwa amefariki dunia akidhaniwa kukatwakatwa na kitu chenye ...
Zimwi la kutoa vibali vya viwanja kwa watu zaidi ya mmoja limezidi kuwaandama maofisa ardhi na sasa wametakiwa kushitakiwa ...
Lishe bora kwa wanafunzi imeendelea kuimarika wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, huku idadi ya shule zinazotoa chakula ...
Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika mtandao wa Youtube, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya ...
Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka ...
Katika hati ya madai, walalamikaji wanadai Februari 13, 2024, Mange akiwa na nia ovu alishapicha taarifa kupitia akaunti yake ...
Malalamiko hayo yameibua mgongano wa hoja za kisheria baina yake na mawakili wa Serikali kwa niaba ya mjibu maombi katika ...
Ekari 614 za mashamba ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa katika ...
Wawili hao wote ni wazaliwa na wakazi wa Kigoma na hii sio vita yao ya kwanza, waliwahi kuwania ubunge wa jimbo hilo pamoja, ...
Daura, Nigeria. Katika jiji la Daura, jimbo la Katsina mamia kwa maelfu ya waombolezaji wamejumuika kutoa heshima za mwisho ...
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka Mkoa wa Songwe, Nkunyutila Siwale, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results