News

The Swahili word “jasho” means “sweat” in English. Meaning:Literal meaning: Sweat, the moisture exuded through the skin due to heat, physical exertion, or stress.Figurative use: It can also symbolize ...
Ofa aliyopata Aziz Ki kwenda Wydad imezinufaisha pande zote, Yanga pamoja na yeye mwenyewe kutokana na kile ambacho atakuwa ...
JESHI la Polisi nchini limesema halitamvumilia mtu yeyote au kikundi chochote ambacho kitajihusisha na vurugu wakati wa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 imeshiba, ni ya ushindi, ...
WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Japan cha Urafiki na Afrika (Africa Union Parliamentarians Friendship)-AUPF-, Ichiro Aisawa, kwenye Ofisi za ...
MOROGORO: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imebaini utekelezaji hafifu usiokidhi viwango ...
DODOMA: ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2025 iliyozindiliwa leo jijini Dodoma katika ukurasa wake wa 41, 42, 43, na 44 ...
Kwa mujibu wa Ofisa Elimu Jamii kutoka DCEA, Shabani Miraji amesema lengo ni kushirikisha viongozi hao ni kuhamasisha mazao ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeweka alama kwa Wazanzibari katika utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya ...
Akizungumzia matumizi ya teknolojia mpya kama Akili Mnemba (Artificial Intelligence – AI), Profesa Samwel amesema ingawa ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025 umeimarisha uchumi na kuongeza ...
DODOMA; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinazindua ilani yake 2025-2030 kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka ...