Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Korea ya kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake mashariki mwa Asia. Katika mtandao wake wa Twitter, Rais Trump amemuelezea Rais wa Korea kusini Moon Jae-in ...
Maelezo ya picha, Rais Kim Jong Un atua Korea Kusini 27 Aprili 2018 Rais Kim Jong-Un wa Korea Kaskazini amekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa hilo kuvuka mpaka wa kijeshi uliowekwa kuzitenganisha ...
"Inakadiriwa kuwa wanajeshi 3,000 zaidi walitumwa kama nyongeza kati ya mwezi wa Januari na Februari," makao makuu ya jeshi laKorea Kusini imetangaza, na kuongeza kuwa wanajeshi 4,000 wa Korea ...
Kwa kuongezea, kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini, kutakuwa na uwasilishaji wa makombora, vipande 200 vya silaha za masafa marefu na risasi. Majaribio ya silaha kabla ya kusafirishwa nje ...
Serikali ya Korea Kusini imeitisha mkutano wa dharura kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la ushuru wa forodha wa kutendeana wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchini humo.
Mahakama ya Katiba nchini Korea Kusini Jumatatu imetupilia mbali uamuzi wa Bunge wa kumwondoa Waziri Mkuu Han Duck-soo, na kumrudisha rasmi katika wadhifa wake kama kaimu rais. Han alishika nafasi ...
Jeshi la Korea Kusini linasema kosa la rubani lilikuwa chanzo kikuu cha udondoshaji wa mabomu kwa bahati mbaya nje ya eneo la kufanya mafunzo wiki iliyopita. Jana Jumatatu, jeshi hilo lilitoa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results