Chanzo cha picha, AFP/Getty Images Ziara hiyo inafanyika wakati kuna kuboreka kwa uhusiano kati ya Korea hizo mbili. Wakati wa mashindano ya olimpiki Korea Kaskazini na Kusini walitembea pamoja ...
Wakuu wa Majeshi ya Korea Kusini wanasema wanaamini Korea Kaskazini ilirusha makombora kadhaa ya balistiki ya masafa mafupi leo Jumanne asubuhi. Yalipaa upande wa mashariki kuelekea Bahari ya Japani.
Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi siku ya Jumanne, Januari 14, jeshi la Korea Kusini limetangaza, siku chache kabla ya kuapishwa kwa Donald Trump na wiki moja baada ya ...
Hii ni ziara ya kwanza kwa waziri wa mambo ya nje wa Japani nchini Korea Kusini kwa zaidi ya miaka sita, kulingana na shirika la habari la Yonhap, lililonukuliwa na shirika la habari la AFP.
Mahakama ya Korea Kusini imetupilia mbali kwa mara nyingine, ombi la waendesha mashtaka la kuongeza muda wa kuzuiliwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge Yoon Suk Yeol. Taarifa hiyo ...
Maelezo ya picha, Ziara ya bwana Pompeo's (left) nchini Korea Kaskazini ililenga kuandaa mkutano kati ya Trump na Kim 18 Aprili 2018 Mkurugenzi wa shirika la ujasusi Marekani CIA ,Mike Pompeo ...
Machafuko ya kisiasa nchini Korea Kusini yameathiri uchumi na diplomasia ya nchi hiyo kufuatia kumuondoa madarakani rais na waziri mkuu. Juzi Ijumaa, Bunge la Taifa la Korea Kusini lilipitisha ...
Ndege moja ya abiria iliwaka moto muda mfupi baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa mji wa Busan nchini Korea Kusini Jumanne jioni. Watu watatu walijeruhiwa kwenye mkasa huo. Abiria wote 169 na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results