Mwaka 2006, jengo liliporomoka eneo la Changombe jijini Dar es Salaam na kuua watu wanne Juni ... sheria za mipango miji zinataka viwanja vinne vya ‘high density’ (makaazi yenye msongamano ...
Che Malone yupo aliyepelekwa Morocco anazidi kuwapasua Simba kichwa kutokana na ratiba ngumu kuanzia mwezi ujao hadi Mei.
Mazishi ya aliyekuwa msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni mjini Dar es Salaam. Steven Kanumba aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki ...
DAR ES SALAAM: MADEREVA wa Bolt wamepokea kwa furaha, mpango wa serikali unaolenga kuimarisha usalama wa madereva na abiria ...
MASHINDANO ya 25 ya kusoma Quran Tukufu ya Mabara yote Duniani, yanatarajiwa kufanyika nchini katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ...
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alihad, amesema maendeleo ya jamii yoyote yanategemea uchumi na uwekezaji .
Viongozi wastaafu wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio waliofika hadi sasa katika Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam ...
Hayati Magufuli alifariki Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo, kifo kilichohitimisha ...
Mchezaji wa gofu wa kulipwa kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Fadhili Nkya ameibuka bingwa katika michuano ya Lina PG Tour yaliyofanyika katika viwanja vya gofu vya Gymkhana, Morogoro jana.