News

Mwezi Juni serikali ya Tanzania ilitishia kuwakamata wanaharakati wa haki za mashoga na kuahidi kuwafukuza wageni ambao wataunga mkono kutetea haki za mashoga. "Napenda kuwakumbusha na kuonya ...
"Kwa orodha tuliyonayo, kutangaza majina ya mashoga hadharani, ni sawa na kufungulia jini lililowekwa kwenye chupa," ameongeza. Inatokea sasa hivi ...
Tanzania imesema mpango wa kuwasaka na kuwakamata watu wanaoshukiwa kuwa mashoga uliotangazwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam siyo sera rasmi, na kujitenga na mpango huo uliokosolewa na mashirika ...
Serikali ya Tanzania imejitenga na kampeni ya kuwakamata na kushtaki mashoga inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania iliyotolewa ...
Kamati hiyo ambayo imejumuisha watu kutoka bodi ya filamu, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA ... Kamati itakayoshughulika na mashoga wanaojitangaza na wasiojitangaza lakini wanajulikana ...
Papa Francis alaani kitendo cha mauwaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise /EU yaikosoa Hungary kuhusu sheria ya mashoga/ Tanzania: wasafiri walalamikia gharama kubwa ya upimaji virusi vya corona ...