News

Serikali ya Tanzania imejitenga na kampeni ya kuwakamata na kushtaki mashoga inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania iliyotolewa ...
Rais Barack Obama ametia saini sheria ambayo kwa mara ya kwanza itaruhusu mashoga jeshini kuwa wazi na hali zao za kijinsia bila ya kuwa na wasiwasi wa kufukuzwa kazi. Maelezo ya picha ...