Umoja wa Mataifa umesema vurugu zilizoibuka mashariki mwa Kongo zimewalazimu katika kipindi cha mwezi mmoja, watu 100,000 ...
Kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika ,Africa CDC imetangaza kuwa uzalishaji wa chanjo ya Mpox katika ...
Matokeo yake endapo yangeipa Uganda ushindi ,yangebadilisha kabisa ramani ya afrika mashariki kama ilivyo sasa . Chanzo kikuu cha mapigano hayo kilitokana na hatua ya rais wa Uganda wa wakati huo ...
Nchini Uganda Kiswahili kilifikiriwa kwamba ni lugha ya watumwa. Lakini Kiswahili kilitumiwa zaidi na Polisi na Wanajeshi Wikendi hii Katibu mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki ...
Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi ...
WAKATI kikosi cha timu ya taifa jana kikiwasili Morocco tayari kwa mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya ...
Dar es Salaam. Umoja wa masoko ya Hisa katika nchi za Afrika Mashariki unatarajia kutambulisha nembo moja ya soko la hisa ...
“Pia tumeazimia kuchakata na kufanya biashara ya kahawa angalau asilimia 50 ndani ya Bara la Afrika ifikapo mwaka 2035, na ...